Audio

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: EllyJoh Feat Cassian-Upendo

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili yenye mahadhi ya HipHop anayejulikana  kwa jina la EllyJoh akiwa amemshirikisha muimbaji anayefahamika kwa jina la Cassian wimbo huu unaitwa Upendo ukiwa umetengenezwa na producer Innocent Mujwahuki kutoka studio ya Pushup Record.

Akiongea na gospomedia.com muimbaji Elly Joh amesema “Hakuna Upendo mkuu zaidi ya Upendo wa Mungu hapa duniani hata mbinguni hivyo binadamu wote wanatakiwa kupendana wao kwa wao ili kuukamilisha utukufu wa Mungu, mimi Elly Joh leo nakusihi kuonyesha Upendo wako kwa yeyote umpendaye kupitia wimbo wangu huu mpya ambao utakuwa baraka kwako na kwa wote watakaosikiliza nikutakie siku njema ya mapendo.”

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Upendo kutoka kwa muimbaji EllyJoh akiwa amemshirikisha Cassian na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download Mp3

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji EllyJoh kupitia
Simu/WhatsApp: +255 717 342 232
Facebook: Elly Joh
Instagram: @ellyjoh YouTube: EllyJoh

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Silikiza & Download Music Audio: Hakika Ruben - Ubatili

Next post

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: EllyJoh Feat Cassian-Upendo