Connect with us

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: The Doxaz – Ni wewe

Muziki

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: The Doxaz – Ni wewe

Kutoka Dar es salaam, Tanzania gospomedia.com leo inautambulisha kwako wimbo mpya kutoka kwa kundi mahiri la waimbaji wa muziki wa nyimbo za Injili linalofahamika kwa jina la The Doxaz(Word Alive Praise & Worship Team) kutoka kanisa la Word Alive Centre wimbo huu unaitwa Ni wewe wimbo ukiwa umetengenezwa na producer Innocent Mujwahuki kutoka studio za push up records zilizopo jijini Dar es salaam.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Ni wewe kutoka kwa kundi la waimbaji The Doxaz na usiache kuwapa sapoti kwa kuwashirikisha wengine zaidi wimbo huu kwa kadri uwezavyo ili Injili iweze kuwafikia watu wengi zaidi duniani kote na hakika utabarikiwa sanaKaribu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na kundi la waimbaji hawa The Doxaz kupitia:

Simu/WhatsApp: +255 717 057 457
Facebook page: The Doxaz

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top