Connect with us

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Baraka Jimmie – Jina

Muziki

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Baraka Jimmie – Jina

Kutoka songea Tanzania gospomedia.com leo inamtambulisha kwako kwa mara nyingine mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Baraka Jimmie wimbo huu unaitwa Jina, ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya 99 Records chini ya mikono ya producer Jozey.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Jina na usiache kumpa sapoti mwimbaji huyu kwa kuwashirikisha wengine wimbo huu kwa kadri uwezavyo na hakika utabarikiwa sanaKaribu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko na mwimbaji Baraka Jimmie wasiliana naye kupitia
Simu/WhatsApp: +255 625739040
Facebook: Baraka Jimmie
Instagram: @barakajimmie
YouTube: Baraka Jimmie

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top