Audio

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Baraka Henry-Nitaimba

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania gospomedia.com leo inamtambulisha kwako mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Baraka Henry wimbo huu mpya unaitwa Nitaimba ukiwa umetengenezwa  na producer xhyzone kutoka studio za upzone records.

Akiongea na gospomedia.com muimbaji Baraka Henry amesema kuwa wimbo huu wa Nitaimba unapatikana kwenye album yake mpya inayobeba jina la Wape Salamu ambayo anatarajia kuiachia hivi karibuni hivyo amewaomba wadau na wapenzi wote wa nyimbo za Injili kumpa sapoti kwa kuzipokea kazi zake ambazo anaamini zitakuwa baraka kwa watu wote ambao wanaamini kwamba Yesu ni bwana na mwokozi wa maisha yao.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Nitaimba kutoka kwa mumbaji mpya Baraka Henry na usiache kumpa sapoti kwa kuwashirikisha wengine wimbo huu kwa kadri uwezavyo ili Injili iweze kuwafikia wengi zaidi na hakika utabarikiwa sanaKaribu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Baraka Henry kupitia:

Simu/WhatsApp: +255 743 175 501
Facebook: Baraka Henry
Instagram: @barakahenry
Youtube: Baraka Henry

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Jimkery Tuesday-Uweponi Mwako

Next post

Tazama Video | Sikiliza & Download Audio: Amani Kiwale Feat Naomi Kaduma-Namfurahia Mungu