Audio

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Aaron K – Umenibeba Yesu

Kutoka mkoani mkoani morogoro Tanzania leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji na mtaarishaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Aaron K wimbo huu unaitwa Umenibeba Yesu ukiwa umetengenezwa na kurekodiwa na yeye mwenyewe kutoka ndani ya studio yake iitwayo KY Studios iliyopo mkoani morogoro.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha uwashirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi ili nao wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Umenibeba Yesu kutoka kwa muimbaji Aaron K hakika utabarikiwa sana kupitia wimbo huu. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Aaron K kupitia
Simu/WhatsApp: +255 718 836 372
Facebook: Aaron-K
Instagram: @aaron_k

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Baraka Jimmie - Jina

Next post

Hizi Ndizo Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi Februari 2017.