Video: Shaska - Kweli - Gospo Media
Connect with us

Video: Shaska – Kweli

Video

Video: Shaska – Kweli

Kutoka jijini Dar es salam kwa mara ya kwanza kabisa tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya katika huduma ya muziki wa Injili anayefahamika kwa jina la Shaska na hii ni video ya wimbo wake mpya uitwao Kweli.

Video hii imeongozwa na director John Jay, muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Shaska.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki kila wakati, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Shaska kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 716 822 280
Facebook: Shaska Pro Tz
Instagram: @shaskaprotz
Youtube: shaska pro tz

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top