Audio: Shard - Naiwe - Gospo Media
Connect with us

Audio: Shard – Naiwe

Audio

Audio: Shard – Naiwe

Kutoka mjini Morogoro kwa mara ya kwanza katika mwaka 2018 tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya kutoka katika huduma ya muziki Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Shard, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za AM Records chini ya mikono ya prodyuza Bob Manecky.

“Kama ilivyo jina la wimbo “Naiwe” yaani iwe hivyo, Wimbo unazungumzia mtu anayemngoja Bwana kwa imani aweze kumuinua, kumbariki ili uwe ushuhuda kwa wote.” – alisema Shard

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa, Amen!

 

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Shard kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 653 006 425
Facebook: Shard Benjamin
Instagram: @shardaymari
Twittter: @shardaymari

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top