Advertisements
Connect with us

Audio: Seyi Tom Feat. Bukunmi – Amazing Grace

Audio

Audio: Seyi Tom Feat. Bukunmi – Amazing Grace

Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea wimbo wa kuabudu uitwao Amazing Grace kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Seyi Tom akiwa amemshirikisha mwanadada Bukunmi Onakhina. Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Teemode Beatz.

Huu ni wimbo unaoeleza juu habari ya kuwepo kwetu na bila shaka kutabariki mwili wa Kristo na ulimwengu hasa katika kipindi hiki cha kutokuwa na uhakika duniani. Katika Yeye vitu vyote vinajumuishwa. Ubarikiwe!

Amazing Grace ni moja ya wimbo utakaopatikana kwenye albamu yake mpya inayobebwa kwa jina la Center of my Joy inayotarajiwa kuachiwa hivi karibuni.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni imani yetu kuwa utakubariki na kukugusa siku ya leo, Ameen.

 

[easy_media_download url=”https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/08/Seyi-Tom-Feat.-Bukunmi-Amazing-Grace.mp3″ text=”Download Audio” force_dl=”1″]

Social Media
Facebook: Seyi Tom Instagram: @iamseyitom
Twittter: @iamseyitom

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP TRENDING

Shad B - Mbalii

Audio

Audio: Shad-B – Mbalii

By April 24, 2019

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,282 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top