Audio: Seyi Afeni - Loworo(With Ease) - Gospo Media
Connect with us

Audio: Seyi Afeni – Loworo(With Ease)

Audio

Audio: Seyi Afeni – Loworo(With Ease)

Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea wimbo mzuri uitwao Loworo (With Ease) kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Seyi Afeni.

“…Baada ya kujaribu kufanya mambo kwa nguvu zako bila kupata mafanikio, Ndipo unapoamua kufanya mapenzi ya Mungu na kila kitu kinaanza kufanikiwa kwa urahisi (With Ease) “. – alisema Seyi Afeni

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni hakika utakwenda kuweka nguvu mpya ndani yako, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Social Media
Facebook: Seyi Afeni
Instagram: @seyiafeni
Twittter: @seyiafeni

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top