Connect with us

Audio: Seya – Be-You-Tiful

Audio

Audio: Seya – Be-You-Tiful

Kutoka nchini zambia leo nimekusogezea wimbo uitwao “Be-You-Tiful” kutoka kwa mwanadada anayefahamika kwa jina la Seya, akiwa ni mwimbaji mpya katika kiwanda cha muziki wa Injili nchini Zambia.

“Be-You-Tiful” ni wimbo uliobeba ujumbe wa kumuhamasisha na kumtia moyo kijana aliyekata tamaa, Na huu ukiwa ni wimbo wake wa tatu kuachia rasmi toka alipoanza huduma ya uimbaji. Muziki huu umetayaarishwa ndani ya studio za Church of Radio Cafe na kurekodiwa na prodyuza GEO kutoka studio za Nativez zilizopo nchini Zambia.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nina imani kuwa utakubariki na kukuinua siku ya leo, Ameen.

 

Download Audio

Social Media
Facebook: Seya Music1
Instagram: @seyamusic1
Twittter: @seyamusic1

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top