Connect with us

Video: Sephaniah Mwahalende – Maisha Haya

Sephaniah Mwahalende Maisha Haya

Muziki

Video: Sephaniah Mwahalende – Maisha Haya

Sephaniah Mwahalende Maisha Haya

Kutoka kwenye albamu yake ya kwanza iitwayo Nikurudishie Nini Bwana kwa mara nyingine tena tunaitambulisha kwako video ya wimbo uitwao Maisha Haya kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Sephaniah Mwahalende.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki na kukuinua kila siku, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Sephania Mwahalende kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 759 395 239 au +255 658 991 822
Facebook: Sephania Mwahalende
Instagram: @sephaniamwahalende
Youtube: Sephaniah Mwahalende

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top