Habari za Muziki

Semina Ya Vijana Kanisa La FPCT Kitaifa Kufanyika Dodoma tar 21 June -25 Mwaka Huu

Idara ya vijana na watoto ya kanisa la Free Pentekoste Tanzania wanawatangazia vijana wote wa kanisa la  FPCT kuwa kutakuwa na semina ya mafundisho ya neno la Mungu kuanzia tar 21 -25  ya mwezi wa sita msalato mkoani Dodoma.

Idara ya vijana inawataka vijana wote kushiriki semina hii ambayo inalenga kuwafundisha vijana neno la Mungu.

Walimu katika semina hiyo ni pamoja na askofu mkuu wa makanisa ya FPCT Tanzania Askofu David Batenzi lakini pia naibu katibu mkuu wa kanisa hilo Rev. David Nkone na walimu wengine wengi watakuwepo. kijana unatakiwa kuja na ada ya semina ambayo nii shilingi elfu 15 . kwa taarifa zaidi vijana mnatakiwa kuwasiliana na wenyeviti wenu wa matawi ili kufahamu zaidi.

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

 

Advertisements
Previous post

Download Official Music Audio: FreyGod Furugutu - Jina Lako

Next post

Get Up Youth Over Night Kufanyika Tar 16 June Ngaramtoni Arusha.