Connect with us

Sedekia Kiza Ameachia Wimbo Unakusudi na Mimi

Sedekia Kiza Ameachia Wimbo Unakusudi na Mimi

Muziki

Sedekia Kiza Ameachia Wimbo Unakusudi na Mimi

Kutoka Tanzania, Mwimbaji chipukizi wa Nyimbo za Injili Sedekia Kiza ameachia wimbo unaoitwa “Unakusudi na Mimi” akiwa amemshirikisha Cecy Bunto, Tayari wimbo huu upo kwenye channel yake ya YouTube karibu kuusikiliza na uinjilike nao. Barikiwa.

Connect:
WhatsApp: +255 769 774 337
Facebook: Sedekia Akiza
Instagram: @sedekiakiza
Youtube: Sedekia Kiza

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top