Connect with us

Audio: Sarah Mgogwe – Mkono Wako

Sarah Mgogwe Mkono Wako

Muziki

Audio: Sarah Mgogwe – Mkono Wako

Sarah Mgogwe Mkono Wako

Kutoka jijini Mbeya kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mwimbaji anayetambulika kwa jina la Sarah Mgogwe na huu ni wimbo wake wa kwanza kuachia uitwao Mkono wako.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za G.love Music chini ya mikono ya prodyuza Gody.

Mkono Wako ni wimbo unaozungumzia namna mkono wa Mungu unavyoweza kufanya mambo mengi na ya ajabu katika maisha yetu.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Sarah Mgogwe kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 672 271 429
Facebook: Sarah MgogweTz
Instagram: @officialsarahmgogwe
Youtube: Sarah Mgogwe Tz

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

TRENDING

To Top