Connect with us

Video: Sara Nyongole – Uko Juu

Muziki

Video: Sara Nyongole – Uko Juu

Kutoka jijini Dar es salaam mwimbaji anayeendelea kufanya vizuri katika huduma ya Muziki wa Injili nchini Tanzania Sara Nyongole kwa mara nyingine tena ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Upo Juu.

Video hii imeongozwa na director Dee Moolah, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za TopClass Records chini ya mikono ya prodyuza Edgar Mpangile.

“Upo Juu ni wimbo wa sifa unaotukuza na kulisifu jina la Bwana wetu Yesu Kristo ambaye alikuja duniani kumkomboa mwanadamu na dhambi zake, Katika kuadhimisha kuzaliwa kwa mfalme wetu Yesu wimbo huu unatukumbusha kumsifu Mungu na kutambua kuwa yeye ndiye pekee aliye juu ya vitu vyote duniani na mbinguni, #Uko Juu

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki na kukugusa siku zote utakapokuwa unasikiliza na kutazama, Heri ya Krismasi.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Sara Nyongole kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 789 949 665
Facebook: Sara Nyongole
Instagram: @saranyongole
Youtube: Sara Nyongole

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top