Connect with us

Video | Audio: Sara Nyongole – Nakupenda

Audio

Video | Audio: Sara Nyongole – Nakupenda

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza tunamtabulisha kwako mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Sara Nyongole ambaye siku chache zilizopita ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Nakupenda.

Video hii imeongozwa na director Dee Moolah, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za TopClass Records chini ya mikono ya prodyuza Edgar Mpangile.

Warumi 5:8: “Mungu apendekeza upendo wake mwenyewe kwetu kwa kuwa, tulipokuwa tungali watenda dhambi, Kristo alikufa kwa ajili yetu.”

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki siku zote, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Sara Nyongole kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 789 949 665
Facebook: Sara Nyongole
Instagram: @saranyongole
Youtube: Sara Nyongole

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top