Connect with us

Video: Sara Nyongole Feat. Walter Chilambo – Ni Mungu

Sara Nyongole Feat. Walter Chilambo - Ni Mungu

Muziki

Video: Sara Nyongole Feat. Walter Chilambo – Ni Mungu

Sara Nyongole Feat. Walter Chilambo - Ni Mungu

Baada ya kuachia video ya wimbo uitwao Yahweh mwezi Februari 2019 kwa mara nyingine tena Sara Nyongole ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Ni Mungu akiwa amemshirikisha mwimbaji Walter Chilambo.

Video hii imeongozwa chini ya studio za Love Music, Muziki ukiwa umetayarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Walter Chilambo.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa itakubariki na kukuinua siku zote, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Sara Nyongole:
Simu/WhatsApp: +255 789 949 665
Facebook: Sara Nyongole
Instagram:
Youtube: Sara Nyongole

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

TRENDING

Jiunge Nasi

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea updates za kiinjili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 16,082 other subscribers

To Top