Video | Audio: Samwel Gospel - Usinivute - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Samwel Gospel – Usinivute

Video

Video | Audio: Samwel Gospel – Usinivute

Baada ya kimya kirefu toka alipoachia wimbo wake uitwao “Fungua Maisha Yangu” mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Samwel Gospel kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2018 ameachia video yake mpya iitwayo Usinivute, video ikiwa imeongozwa na director Deemollah na muziki ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Dan kutoka studio za Amani.

“Usinivute shetani” ni wimbo unaolenga maisha ya watu kwa ujumla walio katika wokovu hata na wale walio nje ya wokovu, lengo ni kujizuia kutokutenda dhambi na kufanya mema ili kumkwepa shetani katika anasa za dhambi, na ili Mungu atukuzwe, Ni lazima kusimama imara katika maombi ili kuikimbia dhambi na kutenda Mema.” – alisema Samwel Gospel

Kwa moyo mkunjufu nakuakaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu mzuri ambao nina imani kuwa utakwenda kubadiisha maisha yako hasa kwa wewe ambaye hujampa Yesu maisha yako. Mungu akubariki sana kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu, Ameen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Samwel Gospel kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 652 633 171
Facebook: : Samwel Gspel
Instagram: @samwelgspel
YouTube: Samwel Gspel

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top