Audio: Sampamba - Sikutegemea - Gospo Media
Connect with us

Audio: Sampamba – Sikutegemea

Audio

Audio: Sampamba – Sikutegemea

Baada ya kufanya vizuri mwezi Machi kupitia wimbo wake uitwao Roho Mtakatifu, Mwimbaji na mtaayarishaji wa nyimbo za Injili maarufu kama Sampamba kwa mara nyingine tena ameachia wimbo wake mpya uitwao Sikutegemea, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Sampamba Music.

Sikutegemea ni wimbo uliojaa maneno ya shukrani na sifa kwa Mungu kwa yale matendo makuu ambayo ametenda katika maisha yetu, kuna nyakati tunapita katika mambo magumu ambayo yamekuwa yakitusumbua hata kutukatisha tamaa lakini kwa huruma ya Mungu tunapata ushindi na kuyasimulia matendo yake makuu.

Ni imani yetu kuwa utabarikiwa na wimbo huu wenye nguvu ya kukuinua na kukugusa kwa namna ya tofauti kabisa hakiaka utasema #SIKUTEGEMEA, Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza, Barikiwa.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Sampamba kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 763 231 052
Facebook: Sampamba Music
Instagram: @sampamba
YouTube: Sampamba Music

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top