Audio: Sampamba - Roho Mtakatifu - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Audio: Sampamba – Roho Mtakatifu

Audio

Audio: Sampamba – Roho Mtakatifu

Baada ya kimya cha muda mrefu tangu alipoachia wimbo wake uitwao Thamani mwaka 2017 na kuonekana kufanya vizuri zaidi nchini Tanzania mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Sampamba akitokea jijini Dar es salaam leo nautambulisha kwako wimbo wake mpya uitwao Roho Mtakatifu, muziki ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio yake ya Sampamba Music.

Roho Mtakatifu ni msaada pekee katika maisha yetu, Roho Mtakatifu ni mlinzi, Roho mtakatifu ni alama ya ushindi, Roho Mtakatifu ni njia ya kweli na uzima kupitia jina la Bwana wetu Yesu Kristo.

Nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nina hakika utaufurahia na kubarikiwa, Ameen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Sampamba kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 763 231 052
Facebook: Sampamba Music
Instagram: @sampamba
YouTube: Sampamba Music

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

More in Audio

To Top