Connect with us

Audio: Salome Msungu – I am Free

Muziki

Audio: Salome Msungu – I am Free

Salome Msungu - I am Free

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumekusogezea wimbo mpya uitwao I am Free kutoka kwa mwimbaji Salome Msungu.

“Wimbo umepata nguvu kutoka katika kitabu cha Isaya 54:17 ukieleza jinsi MUNGU anavyolinda watoto wake juu ya mishale na vita ya mwili au kiroho , magonjwa, uchawi, maneno, Kwamba chochote kinachofanywa kinyume chetu hakitafanikiwa sababu tupo huru #IAMFREE” – Salome Msungu

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Tripod Music chini ya mikono ya prodyuza Juma Mvungi.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao tunaamini kuwa utakubariki kwa namna ya kipekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Salome Msungu kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 625 791 741
Facebook: Salome Msungu
Instagram: @salomemsungu
Youtube: Salome Msungu

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top