AudioVideo

Video | Audio: Saimon Vedastus – Mungu Anaona

Baada ya kufanya vizuri kupitia wimbo wake uitwao Yawe mwimbaji mpya wa nyimbo za injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Saimon Vedastus ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Mungu Anaona, Video ikiwa imeongozwa na director Saymer.

“Mungu Anagawa kwa wakati, Wakati wako upo subilia pesa Dhahabu na Majumba yapo ni mapambo katika Dunia usikate tamaa muombe Mungu.” – alisema Saimon Vedastus

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema na hakika utakubarikiwa, Ameen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Saimon Vedastus kupitia:
Simu: +255 659 431 793 WhatsApp: +255 620 182 605
Facebook: Saimon Vedastus
Instagram: @saimonvedastus15
Youtube: SAIMON VEDASTUS

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Baisa Mhela - Just

Next post

Video | Audio: Joel Lwaga Feat. Chris Shalom - Umejua Kunifurahisha