Connect with us

Video | Audio: Ruth Matete – Umeni Handle

Video

Video | Audio: Ruth Matete – Umeni Handle

Baada ya kuachia video yake iitwayo Eloi Eloi aliyoiachia mwishoni mwa mwaka 2017 kwa mara nyingine tena Mwimbaji Ruth Matete kutoka jijini Nairobi Kenya leo ametuletea video yake mpya iitwayo “Umeni Handle”, video hii imeongozwa na Director Eric Omba na muziki ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Sportlight Media.

“Umeni Handle” ni wimbo wa sifa na shukrani kwa Mungu Baba kwa yale ambayo amekuwa akitutendea kila siku katika maisha yetu, amekuwa mwalimu, amekuwa kiongozi, amekuwa mchungaji na mlinzi wetu huyu ni Mungu mwaminifu asiyeshindwa na jambo lolote, Bwana Yesu asifiwe Halleluya.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii nuri na kupakua wimbo huu ambao nina hakika utakubariki na kukupa amani siku zote, Ameen.

Download Audio

Social Media
Facebook: Ruth Matete
Instagram: @ruthiematete

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top