Connect with us

Video: Rose Muhando & Stephen Kasolo – Msitufatefate

Rose Muhando & Stephen Kasolo - Msitufatefate

Muziki

Video: Rose Muhando & Stephen Kasolo – Msitufatefate

Rose Muhando & Stephen Kasolo - Msitufatefate

Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 leo tumekusogezea video ya wimbo uitwao Msitufatefate kutoka kwa mwimbaji mkongwe Tanzania Rose Muhando akiwa na mwimbaji Stephen Kasolo kutoka nchini Kenya.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Social Media Connection:
Facebook: Stephen Kasolo
Instagram: @stephenkasolo
Twitter: @stephenkasolo
YouTube: stephen kasolo

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top