Audio: Rose Feat. Phillip D. Wallson – The Anthem - Gospo Media
Connect with us

Audio: Rose Feat. Phillip D. Wallson – The Anthem

Audio

Audio: Rose Feat. Phillip D. Wallson – The Anthem

Kutoka nchini Nigeria, leo kupitia tovuti yako pendwa nimekusogezea wimbo mzuri uitwao “The Anthem” kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili nchini humo anayefahamika kwa jina la Rose hapa akiwa amemshirikisha mwimbaji Phillip D. Wallson, muziki ukiwa umetayaarishwa na prodyuza Florocka kutoka studio za RockaNation.

Nina imani kuwa utabarikiwa na kuufurahia wimbo huu, karibu upakue na usikilize!

 

Download Audio

Social Media
Facebook | Instagram | Twitter: @roseibegbulam

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top