Advertisements
Connect with us

Audio: Roline Raban – Yote Mema

Audio

Audio: Roline Raban – Yote Mema

Kutoka jijini Dar es salam kwa mara ya kwanza leo tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Roline Raban ambaye kwa sasa ameachia wimbo wake mpya uitwao Yote Mema ikiwa ni marudio ya wimbo ulioimbwa na mwimbaji maarufu Joel Lwaga,

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Bizzo.

Ujumbe kwenye huo wimbo ni kujifunza kumshukuru Mungu wakati wote, tusimuabudu Bwana kwa hisia zetu, kwamba tukifurahi tumshukuru, tukiwa na huzuni tumkimbie..pia tujifunze kuwa Mungu huyaruhusu magumu maishani mwetu ili tujifunze vitu fulani kwa ajili ya Mambo makubwa ambayo ametuandalia kwa siku zijazo!..

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

[easy_media_download url=”https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/12/Roline-Raban-Yote-Mema.mp3″ text=”Download Audio” force_dl=”1″]

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Roline Raban kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 762 068 246
Facebook: Roline Raban
Instagram: @rolineraban
Twitter: @rolineraban

Advertisements
Continue Reading
Advertisement
You may also like...
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP TRENDING

Shad B - Mbalii

Audio

Audio: Shad-B – Mbalii

By April 24, 2019

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,282 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top