Habari

Rogate Kalengo, Mshindi wa Tatu wa GSS-2016 Kufanya Tamasha Kubwa Msimbazi Center Novemba 13.2016.

Mshindi wa Tatu wa Gospel Star Search (GSS)2016, Rogate Kalengo anatarajia kufanya tamasha la aina yake Siku ya tarehe 13 Novemba mwaka huu ambalo amelipa jina la ARISE AND SHINE TALENT CONCERT.

Tamasha hili litahusisha mambo mbalimbali kama vile Fashion and Designs, Dancers, Motivational Speakers and Gospel standup comedy.

t435

Tamasha hilo litapambwa na waimbaji mbalimbali na vikundi vya kusifu na kuabudu kama vile Dr.Ipyana Kibona na The Favoured Pizzicato,Faith Vocal na Essence of Worship. Kumbuka Hakuna kiingilio na wote mnakaribishwa.

rsq

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Christina Shusho Ataka Idadi ya Waimbaji Vijana Iongezeke.

Next post

Habari Picha za Watangazaji wa Praise Power Radio Walivyozunguka Mtaa kwa Mtaa Kurusha Matangazo Live.