Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Rogate Kalengo Feat. The Xplicits – More than Enough

Audio

Audio: Rogate Kalengo Feat. The Xplicits – More than Enough

Baada ya kimya cha takribani mwaka mmoja mwimbaji anayeendelea kufanya vizuri katika huduma ya muziki wa Injili Tanzania Rogate Kalengo amekuja upya kwa kuachia wimbo mzuri wa kuabudu uitwao More than Enough akiwa amewashirikisha kundi la waimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Nigeria linalofahamika kama The Xplicits.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Tobass kutoka Nigeria na Edwin Mrope kutoka Tanzania.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa, Amen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Rogate Kalengo kupitia
Simu/WhatsApp: +255 752 254 801, +255 769 103 087
Facebook: Rogate Kalengo | The Xplicits group
Instagram: @rogatekalengo_official | @xplicits_crew
YouTube: Rogatekalengotv official

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 10 ON GOSPOMEDIA

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,792 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top