Connect with us

Audio | Robert William Feat. Salome Msungu – Ni Wewe Tu

Robert William Feat. Salome Msungu - Ni Wewe Tu

Muziki

Audio | Robert William Feat. Salome Msungu – Ni Wewe Tu

Robert William Feat. Salome Msungu - Ni Wewe Tu

Kutoka taasisi ya harakati ya kueneza Injili Tanzania maarufu kama YOM, Leo tunamtambulisha kwako Rapper mahiri kabisa anayefahamika kama Robert William ambaye kwa sasa amekuja kitofauti kwa kuachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Ni Wewe Tu akiwa amemshirikisha mwanadada Salome Msungu.

Robert William ni rapa ambaye hapo mwanzo alikuwa anafanya muziki wa dunia kwa miondoko hiyohiyo ya Rap lakini sasa ameamua kumwimbia MUNGU kwa nguvu zaidi tofauti na alivyokuwa akifanya zamani kwa maana amegundua anayestahili kuimbiwa, kuabudiwa kutukuzwa ni mmoja tu ambaye ni YESU KRISTO na hapo ndipo lilipozaliwa wazo la wimbo huu “NI WEWE TU”.

Ubora wa Rapa huyu si wa kitoto ukianza kusikiliza mashahiri yake kwa jinsi alivyoandika na kwa jinsi alivyopepea kwenye beat hii kwa ustadi na ubunifu utamshukuru Mungu na kubarikiwa kuliko kawaida.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa kuna namna utaguswa na kubarikiwa kila wakati utakapokuwa unasikiliza, Amen.

 

Kwa mawasiliano zaidi na Robert William wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 687 336 644
Facebook: Robert William
Instagram: @robertwilliam_sg
Youtube: ROBERT WILLIAM

1 Comment

1 Comment

 1. IsayaEN

  May 19, 2019 at 6:25 am

  waaaooow….. Amazing… To father be the glory….
  Nice Song,
  Now Gospel Rap inakuja kutake over its time now injili ienee kwa mataifa na wajue kua Mungu yupo na anaishi.
  Robert God bless you.
  .

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top