Connect with us

Robert Haule katuletea wimbo huu ‘IPO SABABU’, usikilize hapa (Audio+)

Muziki

Robert Haule katuletea wimbo huu ‘IPO SABABU’, usikilize hapa (Audio+)

Ni mwimbaji chipukizi wa Gospo, Robert Haule ambae time hii ametuletea wimbo mpya uitwao “IPO SABABU”, isikilize hapa kisha usisahau ku-subscribe na kuandika neno lolote kumtia moyo. Barikiwa!

Connect:
WhatsApp: +255 719 191 990
Facebook: Robert Haule
Instagram: @roberthauletz
Youtube: Robert Hauletz

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top