RITHA KOMBA kufanya Uzinduzi wa Album yake ya kwanza 'NI RAFIKI' - Gospo Media
Connect with us

RITHA KOMBA kufanya Uzinduzi wa Album yake ya kwanza ‘NI RAFIKI’

Habari

RITHA KOMBA kufanya Uzinduzi wa Album yake ya kwanza ‘NI RAFIKI’

Siku ya Jumatatu ya tarehe 22 mwimbaji wa nyimbo za Injili Ritha Komba alizungumza na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa DVD albamu yake ya NI RAFIKI utakaofanyika tarehe 28 Oktoba 2018 katika ukumbi wa Jumba la makumbusho ya Taifa Posta, Karibu na Chuo cha IFM.

Mbali na uzinduzi wa DVD hiyo, Ritha Komba amegusia pia juu ya tukio maalumu litakalofayika siku hiyo alilolibatiza kwa jina la “Start Where You are With What You Have”, Lengo likiwa ni kuwahamasisha vijana wenye wito na kiu ya kuzifikia ndoto zao.

Kwa mawasiliano zaidi na jinsi ya kuipata nakala ya albamu hii katika mfumo wa Audio CD na Video DVD wasiliana na mwimbaji Ritha Komba kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 712 496 727
Facebook: Ritha Komba
Instagram: @rithakomba
Twittter: @rithakomba
Youtube: Ritha Komba

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Habari

To Top