Video | Audio: Rita Sanda – We Adore - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Rita Sanda – We Adore

Audio

Video | Audio: Rita Sanda – We Adore

Kutoka nchini Nigeria kwa mara ya kwanza tumekusogezea kwako video ya wimbo wa Ibada uitwao We Adore kutoka kwa mwanadada anayefahamika kwa jina la Rita Sanda.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Ibro Warkaka.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii na hakika utabarikiwa na wimbo huu, Ameen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Social Media
Facebook: Rita Nathan Sanda
Instagram: @rtsanda2
Twittter: @ritasanda2
Youtube: Rita Sanda

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top