Connect with us

Video: Ringtone – Kesho Yako

Video

Video: Ringtone – Kesho Yako

Mkali wa nyimbo wa nyimbo za Injili kutoka jijini Nairobi Kenya maarufu kama Ringtone kwa mara ya kwanza kabisa katika mwaka 2019 ameachia video ya wimbo wake mzuri uitwao Kesho Yako, Video ikiwa imeongozwa na Young Wallace.

“This is a prophetic song that is encouraging us that our tomorrow will be better and shinning than our today. Kesho yako itang’ara kushinda leo [our tomorrow will shine than our today]” – Ringtone

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo kwa hakika itakubariki kila iitwapo leo, Amen.

Social Media:
Facebook: Ringtone Apoko
Instagram: @ringtoneapoko
Youtube: Ringtone Apoko Music

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top