Connect with us

Audio: Revelation Feat. Protek – Get Wild

Audio

Audio: Revelation Feat. Protek – Get Wild

Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea wimbo uitwao Get Wild kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa HipHop anayefahamika kwa jina la Revelation hapa akiwa amemshirikisha Protek.

Muziki huu umetaaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza mahiria maarufu kama Spiritual Beatz.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu, Barikiwa!

 

Download Audio

Social Media
Instagram: @mrrevelation

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top