Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video | Audio: Rehema Lupilya – U Mwema

Video

Video | Audio: Rehema Lupilya – U Mwema

Baada ya kimya cha takribani miezi sita toka alipoachia wimbo wake uitwao U Mwema ikiwa ni moja kati ya nyimbo zilizofanya vizuri mwaka 2017, Leo kupitia blog yako pendwa nimekusogezea video ya wimbo huo kutoka kwa mwimbaji Rehema Lupilya akiwa ni moja kati ya waimbaji wapya katika kiwanda cha muziki wa Injili Tanzania wanaoendelea kufanya vizuri kimuziki. Video ya wimbo huu imeongozwa na director Eddy na muziki ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Oggy Keys kutoka studio za Hypersound.

“Hata kama bado upo kwenye shida ni vyema kuendelea kuamini na kumsifu Mungu, wimbo huu ni kwa ajili ya kuwatia moyo watu wote walio katika mapito mbalimbali na napenda kuwapa tumaini kuwa katika hali zote Mungu anaendelea kuwa mwema. Tusiache kumtumainia!! – alisema Rehema.

“Haleluya! Msifuni Mwenyezi-Mungu! Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake zadumu milele!” – Zaburi 106:1

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii na nina imani kuwa utabarikiwa.. Bwana Yesu asifiwe!

[easy_media_download url=”https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/04/Rehema-Lupilya-Mwema.mp3″ text=”Download Audio” force_dl=”1″]

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na muimbaji Rehema Lupilya kupitia
Simu/WhatsApp: +255 719 478 315
Facebook: Rehema Lupilya
Instagram: @rehemalupilya
Email: rehemalupilya1@gmail.com

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 10 ON GOSPOMEDIA

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,309 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top