Connect with us

Audio: Rehema Lupilya – Ni Wewe

Muziki

Audio: Rehema Lupilya – Ni Wewe

Kutoka jijini Dar es Salaam Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayejulikana  kwa jina la Rehema Lupilya wimbo huu unaitwa Ni Wewe wimbo ukiwa umetengenezwa na producer Success kutoka katika studio za Faith Music Lab.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Ni Wewe kutoka kwa muimbaji Rehema Lupilya na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download Mp3

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na Rehema Lupilya kupitia
Simu/WhatsApp: +255 719 478 315
Facebook: Rehema Lupilya
Instagram: @rehemalupilya

Advertisement

TRENDING

Jiunge Nasi

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea updates za kiinjili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 16,107 other subscribers

To Top