Video: Rebekah Dawn - Naendelea Mbele (I'm Moving Forward) - Gospo Media
Connect with us

Video: Rebekah Dawn – Naendelea Mbele (I’m Moving Forward)

Video

Video: Rebekah Dawn – Naendelea Mbele (I’m Moving Forward)

Kutoka nchini Kenya leo tumekusogezea video ya wimbo unaoitwa Naendelea Mbele (I’m Moving Forward) kutoka kwa moja kati ya waimbaji wanaofanya vizuri nchini humo maarufu kama Rebekah Dawn.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo kwa hakika itakugusa na kukubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Rebekah Dawn kupitia
Facebook: Rebekah Dawn
Instagram: @beka_dawn
Twitter: @bekadawn
YouTube: Rebekah Dawn

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top