AudioVideo

Video | Audio: Rebekah Dawn-Kutembea Nawe

Kutoka Kenya anaitwa Rebekah Dawn ni mwimbaji wa nyimbo za Injili mwenye asili ya marekani lakini kwasas anaishi kenya, kupitia gospomedia.com tunakukaribisha kuitazama video yake mpya inayoitwa Kutembea Nawe (To Walk With You) ikiwa imetengenezwa na Rebekah Dawn ndani ya studio ya LightHouse na video ikiwa imeongozwa na  Allan ‘Sucre’ Gituthu na Anna Baita. gospomedia.com tunakukaribisha pia kuupakua wimbo huu ili uweze kuwa baraka na kukuinua kiroho kisha washirikishe na wengine. Karibu!!

DOWNLOAD AUDIO

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na mwimbaji Rebekah Dawn kupitia
WhatsApp: +254728907940
Facebook: Rebekah Dawn
Instagram: @beka_dawn
Twitter: @bekadawn
YouTube: Rebekah Dawn

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Masanja Mkandamizaji - Moyo Mweupe

Next post

DOWNLOAD MUSIC VIDEO+AUDIO: AARON KY - UMEBAKIA WEWE