Connect with us

Audio: Rafiki Gospel Singers – Stay Stronger

Muziki

Audio: Rafiki Gospel Singers – Stay Stronger

Baada ya kimya cha muda kidogo tangu walipoachia video ya wimbo uitwao Milele kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 Rafiki Gospel Singers wamekuja upya kwa kuachia wimbo uitwao Stay Stronger.

Stay Stronger ni wimbo uliobeba ujumbe wenye nguvu ya matumaini kwa yule mtu aliyekata tamaa kutokana na majaribu anayopitia, yawezekana unapita kwenye shida ya magonjwa, uchumi wako umeharibika, familia yako imekutenga, Ndoa yako haina amani na mambo mengine kama hayo, Amini Mungu atakushindia, Amen.

 

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Rafiki Gospel Singers kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 713 660 543, +255 715 709 415, +255 712 746 398
Facebook: Rafiki Gospel Singers
Instagram: @rafiki_gospel_singers
Twittter: @rafikigospel_
Youtube: Rafiki Gospel Singers

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top