Connect with us

Audio: Quiz Tha Great – Based On Grace

Audio

Audio: Quiz Tha Great – Based On Grace

Quiz Tha Great – Based On Grace

Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea wimbo uitwao Based On Grace kutoka kwa rapa wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Quiz Tha Great.

Based On Grace ni wimbo unaobeba jina la EP yake mpya aliyoipa jina la B.O.G inayotarajiwa kutoka hivi karibuni.

“B.O.G meaning “Based On Grace” is definitely a project that will change lives and inspire all as Quiz tha Great shares his unique story with us. We can’t wait! But for now, here’s to you and everyone that loves good music…. Based On grace – the intro.” – Quiz

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni imani yetu kuwa utakubariki, Amen.

 

Social Media Connection:
Facebook: Quiz tha Great
Instagram: @quizthagreat
Twitter: @quizdamc

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top