Pure Mission Wanakuletea Huru Festival ndani ya Iringa,Usiku wa Novemba 4.Fahamu zaidi hapa. - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Pure Mission Wanakuletea Huru Festival ndani ya Iringa,Usiku wa Novemba 4.Fahamu zaidi hapa.

Habari

Pure Mission Wanakuletea Huru Festival ndani ya Iringa,Usiku wa Novemba 4.Fahamu zaidi hapa.

Huduma ya Pure Mission ikiongozwa na Mtumishi wa Mungu Fred Msungu wanakukaribisha mkazi wa Iringa kwenye tukio kubwa la Huru Festival litakalofanyika usiku wa tarehe 4 Novemba kuanzia saa tatu usiku mpaka asubuhi katika ukumbi wa Chuo Cha RUCO.

Katika tamasha hilo kubwa na la kihistoria kutakuwa na mafundisho ya Neno la Mungu, Sifa na kuabudu na kutiana hamasa katika mambo mbalimbali ya kiroho na kimwili.

Wahudumu katika tamasha hilo watakuwa ni Fred Msungu, Samuel Sasali, Raphael iyela, Boaz Dunken, Paul Clement, Mise Mushi, Eunice Mtavangu, Salvation Voice, PizzCato na Eliya Mwantondo. Hakuna Kiingilio chochote, Wote mnakaribishwaaa!!

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram > @gospomedia

More in Habari

To Top