Mafundisho

“PURE ISPIRATION” MFULULIZO WA MASOMO NA FRED MSUNGU

Katika mfululizo wa masomo ya Biblia ili kutuinua kiimani ambayo yatakujia siku ya alhamisi tar 14.04.2016 , “PURE INSPIRATION” (Uvuvio Halisi) tunaye Brother Fred Msungu ambaye ni :-
1. Mwanzilishi wa Huduma (taasisi) ya Pure Mission.
2. Journalist by Profession (Redio na mtangazaji wa televisheni).
3. Msomi wa taaluma ya theology katika chuo cha GLOBAL UNIVERSITY.
4. Ni mwandishi wa vitabu na pia ndiye mwandishi wa vitabu wa kwanza kufanya vitabu vya sauti (audio books)
5. Mhubiri wa Injili anayefanya kazi kama msimamizi wa Pure Mission inayoendesha mikusanyiko mikubwa ya vijana.
6. Mwandaaji wa muziki (music producer)
7. Amekuwa akifanya maongezi hamasishi (motivational speaker) na amekuwa akiendesha matamasha na semina nyingi za injili.
8. Mtoto wa kwanza wa Mchungaji Dismas P. Msungu.

Fred Msungu jukwaani katika moja ya matukio makubwa aliyoshiriki.

Fred Msungu jukwaani katika moja ya matukio makubwa aliyoshiriki.


 

Like Page yetu ya facebook >>>> GOSPOMEDIA

Advertisements
Previous post

JE UNA MPANGO WA KUTOA MIMBA? JESSICA BM ANAKUULIZA WHY??!! WIMBO WAKE MPYA UNATOKA 15/04/16.

Next post

HIVI NDIVYO MHARIRI WA BONGO 5 ALIVYOIFAGILIA ALBUM YA ANGEL BENARD.