Connect with us

Audio: Protek illasheva Feat. Frank Edwards & Nsikak – Ngalaba

Audio

Audio: Protek illasheva Feat. Frank Edwards & Nsikak – Ngalaba

Kutoka nchini Nigeria leo nimekusogezea wimbo mzuri uitwao Ngalaba(Place) kutoka kwa rapa wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa HipHop anayefahamika kwa jina la Protek illasheva akiwa amemshirikisha mwimbaji mahiri Frank Edwards pamoja na Nsikak, Muziki ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Egar Boi akishirikishana na Okey Sokay.

Karibu kusikiliza na kupakua wimbo huu nikiamini utaufurahia na kubarikiwa!

 

Download Audio

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top