Video | Audio: Progress Effiong - Na God - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Progress Effiong – Na God

Audio

Video | Audio: Progress Effiong – Na God

Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea video ya wimbo uitwao Na God kutoka kwa mwimbaji na mtayaarishaji wa nyimbo za Injili maarufu kama Progress, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono yake mwenyewe.

Na God ni wimbo unaorudisha sifa na utukufu wa Mungu juu ya kila kitu na kutukumbusha juu ya kumwangalia Mungu katika kila hali kila nyakati.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii ambayo itakubariki na kukuinua kwa viwango vingine!

Download Audio

Social Media
Facebook: Progress Effiong
Instagram: @progresseffiong
Twittter: @progresseffiong
Youtube: Progress Effiong

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top