Video | Audio: Princess Leo - Were(Mungu) - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Princess Leo – Were(Mungu)

Audio

Video | Audio: Princess Leo – Were(Mungu)

Kwa mara nyingine tena kutoka nchini Kenya tumekusogezea video ya wimbo uitwao Were(Mungu) kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili nchini humo anayefahamika kwa jina la Princess Leo.

Video hii imeongozwa na director Steve Mugo na Muziki ukiwa umetayarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za EMB Records chini ya mikono ya prodyuza ShallzBaro.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema na hakika utabarikiwa!

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Social Media
Facebook: Princess Leo
Instagram: @princessleomusic

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top