AudioVideo

Video | Audio: Princess Leo & Bahati – Jionyeshe

Kutoka nchini Kenya leo tumekusogezea video ya wimbo uitwao Jionyeshe kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili Afrika Mashariki anayefahamika kwa jina la Princess Leo hapa akiwa na mwimbaji mahiri maarufu kama Bahati.

Video hii imeongozwa na director Rahim, Muziki ukiwa umetayarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Paulo.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema na hakika utabarikiwa!

Download Audio

Social Media
Facebook: Princess Leo
Instagram: @princessleo

Advertisements
Previous post

Audio: J’Oba – Green Blood

Next post

Video | Audio: Mc Freddie - Amen