Connect with us

Audio: Praygod Sawe – One Love(Tupendane)

Audio

Audio: Praygod Sawe – One Love(Tupendane)

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Praygod Sawe na huu ni wimbo wake mpya uitwao One Love(Tupendane), Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Yasolo studios.

“Maneno ya wimbo huu yanajaribu kuonyesha kwamba maisha mazuri ni kuwa na upendo wa Mungu kwa kila mmoja, Natumaini katika Yesu wimbo huu utakubariki, Ameen.” – PrayGod

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu, Amen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Praygod Sawe kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 766 828 678
Facebook: Praygod Sawe
Instagram: @praygodsawe
Youtube: PRAYGOD SAWE

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top