Picha Kumi na Mbili Kutoka kwa Goodluck Gozbert, Mkesha wa Mwaka Mpya - Gospo Media
Connect with us

Picha Kumi na Mbili Kutoka kwa Goodluck Gozbert, Mkesha wa Mwaka Mpya

Matukio

Picha Kumi na Mbili Kutoka kwa Goodluck Gozbert, Mkesha wa Mwaka Mpya

Wakati tukiendelea kumshukuru Mungu na kufurahia Mwaka mpya wa mwaka 2019 leo tumekusogezea picha kumi na mbili kutoka kwa mwimbaji maarufu nchini Tanzania Goodluck Gozbert katika tukio la mkesha wa Mwaka mpya lililofanyika jana katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Mkesha huo uliandaliwa na huduma ya Passion Java Ministries iliyo chini ya Nabii Clear Malisa mbali na kupambwa na shamra shamra za kuukaribisha mwaka mpya Mkesho huo pia ulibeba lengo la kuiombea nchi Tanzania kubaki katika amani na utulivu.

Mbali na Goodluck Gozbert, Pia kulikuwako na waimbaji wengine kama Joel Lwaga, Chris Shalom(Kutoka Nigeria), Peaceking, Jessica Honore na wengine wengi ambao kwa pamoja waliweza kupata nafasi ya kuwahudumia watu kwa njia ya uimbaji na hakika baraka zilishuka juu yao.

Goodluck Gozbert akiteta jambo na Joel Lwaga pamoja na Emmanuel Mbasha.

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Matukio

To Top