Video: Peter Banzi - Ni wewe - Gospo Media
Connect with us

Video: Peter Banzi – Ni wewe

Video

Video: Peter Banzi – Ni wewe

Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunaitambulisha kwako video ya wimbo mpya inayokwenda kwa jina la Ni Wewe kutoka kwa mwimbaji na rapa wa nyimbo za Injili maarufu kama Peter Banzi, Video hii ikiwa imeongozwa na director bony albert kutoka studio za B.A.E ENTERTAINMENT.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki kila wakati utakapokuwa unasikiliza na kutazama video ya wimbo huu, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Peter Banzi kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 789 251 080
Facebook: Peter Banzi
Instagram: @peterbanzi
Youtube: Peter Banzi

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top