Videos

Video: PeaceKing David Feat. Neema Gospel choir – Jesus you are my King

Kutoka kwa muimbaji mwenye asili ya Nigeria anayeishi nchini Tanzania akifahamika kwa jina la Peaceking David leo kwa mara ya kwanza katika mwaka huu wa 2018 nimekuogezea video yake nzuri iitwayo Jesus is my King akiwa amewashirikisha Neema Gospel Choir. Video hii imeongozwa na director mahiri anayefahamika kwa jina la Einxer kutoka studio za Mr.Maxum Vision Internationa na muziki ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Real production studio.

”Usiniambie uwongo kwamba yeye si Mungu kwa sababu aliyofanya, hakuna mtu mwingine anayeweza kufanya…. hivyo Yesu ni mfalme wetu, ni mwaminifu sana na kamwe hajawahi kushindwa hakuna kama yeye.” – Peace King David.

Ni imani kwamba utabarikiwa na video hii iliyoandaliwa katika kiwango cha pekee na wimbo huu ukawe baraka kwako kila utakapokuwa unasikiliza katika kumtukuza Mungu na kulitangaza jina la Yesu Kristo. Barikiwa!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Peaceking David kupitia
Facebook : Peaceking David
Instagram: @peacekingofficial
Twitter : Peaceking David
Youtube: Peaceking David
Email: peacekingdavid55@gmail.com

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Audio: Deusdedith Peter Feat. Neema Ng'asha - Asante

Next post

Video: Benachi - Tiba Yangu